Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BLAC CHYNA APIGA PICHA ZA UTUPU AKIWA NA UJAUZITO WAKE KWA AJILI YA JARIDA LA "PAPER"
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Familia ya Kardashian imemuambukiza wifi yao mpya tabia ya kupiga picha akiwa mtupu, ni Blac Chyna...
Familia ya Kardashian imemuambukiza wifi yao mpya tabia ya kupiga picha akiwa mtupu, ni Blac Chyna ambaye anategemea kupata mtoto wake wa pili na wa kwanza akiwa na Rob Kardashian.
Blac Chyna
Blac Chyna amepiga picha hizo akiwa MTUPU kwaajili ya jarida la ‘Paper’ kama alivyowahi kufanya Kim Kardashian.

Ila hajavunja Internet kama KIM K lakini baby mama huyu wa Rob Kardashian amekuwa miongoni mwa wamama wazuri kwenye gazeti la Paper katika Beautiful People Class of 2016.
Blac Chyna
Blac Chyna
Blac Chyna
Blac Chyna

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top