Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BAADA YA SHABIKI KUMCHANA DIAMOND HUKO INSTAGRAM, DIAMOND AJIBU HIVI...!!
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa yuko njiani kwenda ku shoot video ya wimbo wake aliofanya na st...
Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa yuko njiani kwenda ku shoot video ya wimbo wake aliofanya na staa wa R&B, Ne-Yo.
Diamond Platnumz
Akimjibu shabiki aliyemdiss kwamba anamuiga Ne-Yo, Diamond aliandika,“Not only copying him, and now in the flight heading to Los Angeles to shoot my new Video Ft. Him”

Shabiki huyo alimdiss Diamond kwenye instagram kwa kuandika “You are good and talented in your own way n I love you n ur songs but u should stop copying @neyo… Be ueself boy @diamondplatnumz.” ambapo baada ya kujibiwa comment yake na Diamond alionyesha kufurahia na kuandika tena “@diamondplatnumz n the rest.. Safe flight n am glad you read my comment n that’s my stand.. Haha be blessed.. I ain’t shaken boo.”

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top