Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: WAKURUNGENZI WAPYA KUHAKIKIWA IKULU JULY 12, 2016, WATAKIWA KWENDA NA VYETI HALISI VYA TAALUMA ZAO
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa kutokea ikulu jijini Dar es salaam kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kuw...
ikulu
Taarifa kutokea ikulu jijini Dar es salaam kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kuwa ametoa taarifa kwa wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya walioteuliwa kuwa watakapofika Ikulu Dar es salaam kwa ajili ya kula kiapo cha uadilifu wa uongozi wa umma siku ya Jumanne July 12 2016 wahakikishe wanakwenda na nakala zao halisi za vyeti vya kitaaluma (Original Academic Certificates).

Taarifa hiyo imeeleza kuwa uhakiki wa vyeti halisi vya kitaaluma (Original Academic Certificates) unafanywa kwa lengo la kujiridhisha baada ya mchakato wa kawaida wa uhakiki kufanywa kwa kutumia vyeti visivyokuwa halisi (Photocopies).
LETTER

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top