Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: TAZAMA VIDEO YA SHOW YA ONE AFRICA MUSIC FEST ALIYOTUMBUIZA DIAMOND NCHINI MAREKANI
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kwa mara ya kwanza show kubwa inayohusisha wasanii wa Afrika (ONE AFRICA MUSIC FEST) kwenye ukumb...
Diamond
Kwa mara ya kwanza show kubwa inayohusisha wasanii wa Afrika (ONE AFRICA MUSIC FEST) kwenye ukumbi wa Barclays Centre nchini Marekani imefanyika jana. 
Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Diamond, Wizkid, Davido, Tiwa Savage, Flavour na wengine. 
Show hiyo ilikuwa ikiruka live kupitia mtandao wa Tidal.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top