Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: PAUL MAKONDA AISHUSHUA KAMPUNI HII KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Ni July 13, 2016 ambapo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia kwenye ukurasa wake...
Paul Makonda
Ni July 13, 2016 ambapo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram alilazimika kuandika sentensi kadhaa kuhusu maeneo yasiyo safi na salama.

"Unapofanya biashara katika maeneo machafu kama haya unataka tukutambue kama balozi wa kipindupindu na chanzo cha vifo vya ndg zetu au umejitoa ufahamu kwakujifanya mstarabu wakati siyo"- Paul Makonda

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top