Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: OMMY DIMPOZ AZIMASAUTI KWENYE VIDEO HII AKIWA NA WAYNE ROONEY, JE UNAKITAFSIRIJE KITENDO HIKI?
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Hii ni miongoni mwa trending stories kwa sasa bongo, msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz kakutana...
Ommy Dimpoz and Wayne Rooney
Hii ni miongoni mwa trending stories kwa sasa bongo, msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz kakutana na mchezaji wa Man Untd Wayne Rooney huko Ibiza amabpo mastaa wengi wa michezo tofauti na wasanii wapo kwaajili ya mapumziko.

Kwenye posy yake instagram aliandika “Disturbing Spain with Le Captain Wazzaaa @waynerooney #ibiza2016 #pkp_empire #ManchesterBwanaTunapendanaaaa #BataTunakulaPamojaaa #KamaNakuonaUlivyotoaMachoHuamini???????? #SemaWamanyemaWabishiiiBataNaRooney???? ”

Sauti ya video hiyo imezimwa, video iko hapo chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top