Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: NUH MZIWANDA AFUNGISHWA NDOA YA MKEKA, INASEMEKANA LAKINI......!!! (+AUDIO)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa zilizotufikia kutoka mtaani zinadai kwamba eti Nuh Mziwanda amefungishwa ndoa ya mkeka.  ...
Taarifa zilizotufikia kutoka mtaani zinadai kwamba eti Nuh Mziwanda amefungishwa ndoa ya mkeka. Nuh Mziwanda
Mjomba wa mpenzi wa Nuh mziwanda amewahi kusikika katika U-Heard kuwa Nuh Mziwanda anaishi na mtoto wao huyo kinyume na sheria na kudai kuwa binti huyo ametoroka kwao na hivyo wao kama ndugu wana mtafuta ili aweze kurudi nyumbani.

Baada ya Snitch huyo kuzinyaka ameweza kumfikishia ubuyu wa moto Soudy Brown na muwakilishi huyo wa shirika la wambea duniani SHILAWADU akaona sio kesi ngoja amvutie waya Nuh na waweze kupiga stori kuhusiana na jambo hilo. 


Shilole pia akuwekwa mbali katika ishu hii pia alivutiwa waya na gossip master huyo Soudy Brown, unaweza kusikiliza hapa chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top