Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: NI WIKI YA REKODI KWA LABEL YA WCB, HARMONIZE NAYE NA REKODI YAKE HII MPYA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Inaweza kuwa ni wiki nzuri kwa Label ya WCB kwani hapo Jana Diamond Platnumz aliweza kusherehek...
Inaweza kuwa ni wiki nzuri kwa Label ya WCB kwani hapo Jana Diamond Platnumz aliweza kusherehekea rekodi yake ya Video "KIDOGO" kufukisha Watazamaji Milioni 1 ndani ya Siku 4.
Harmonize_tz
Hii pia inaweza ikawa rekodi mpya kwenye muziki wa Harmonize, hii ni video mpya ya wimbo alioupa jina ‘Matatizo‘ ambayo ilitoka Jul 4, 2016 na kwa sasa imeshafikisha watazamaji milioni moja ndani ya siku 12.
Harmonize - Matatizo
Kwenye hii video tumeona maisha halisi ya msanii Harmonize kabla ya kuwa maarufu kwenye bongo fleva.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top