Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MOYES KOCHA MPYA SUNDERLAND, ACHUKUA NAFASI YA BIG SAM
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David Moyes amepata kazi mpya. Moyes amesaini kuanza ...
Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David Moyes amepata kazi mpya.
David Moyes
Moyes amesaini kuanza kazi ya kuifundisha Sunderland inayoshiriki Ligi Kuu England.

Kocha huyo maarufu kama Daudi, anachukua nafasi ya Sam Allardyce maarufu kama Big Sam ambaye ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Timu ya Taifa ya Uingereza.
David Moyes
TAKWIMU ZAKE AKIWA MAN UNITED:
Alicheza: 51
Alishinda: 27
Sare: 9
Alipoteza: 19
Asilimia ya ushindi: 52.94

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top