Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2016 HAYA HAPA, SHULE 10 BORA NA 10 ZA MWISHO ZATAJWA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shul...
Matokeo
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya vizuri Kitaifa.

Ubora wa shule umepangwa kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average – GPA) ambapo A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 na F=7.

Aidha, upangaji wa shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa wasiopungua 30 kama ifuatavyoa:

==>SHULE 10 BORA KITAIFA
 1. Kisimiri (Government)
 2. Feza Boys (Private)
 3. Mwanza Alliance Girls (Private)
 4. Feza Girls (Private)
 5. Tabora Boys (Government)
 6. Marian Boys (Private)
 7. Kibaha (Government)
 8. Mzumbe (Government)
 9. Ilboru (Government)
 10. Tandahimba (Private)
==>SHULE 10 ZA MWISHO KITAIFA
 1. Mpendae (Unguja)
 2. Ben bella ( Unguja)
 3. Tumekuja (Unguja) 
 4. Green Bird Boys (Kilimanjaro)
 5. Jang'ombe (Unguja )
 6. Kiembe Samaki (Unguja )
 7. Tanzania Adventist ( Arusha )
 8. Al-Ihsan Girls ( Unguja )
 9. Azania (Dar es salaam )
 10. Lumumba (Unguja) 
Matokeo ya Kidato cha Sita 2016....
Bofya hapo chini Kuyaangalia
( Form Six ) ==> BOFYA HAPA KUYAANGALIA>>
DSEE==>> Bofya Hapa
GATCE==> Bofya Hapa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top