Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: HII HAPA ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA LIGI YA VODACOM 2015/2016 NA ZAWADI ZAO
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Tuzo ya kocha bora  #VPL2015  inachukuliwa na Hans Van Pluijm wa Young Africans. ...
Tuzo VPL2015

Tuzo VPL2015
Tuzo ya kocha bora 
 inachukuliwa na Hans Van Pluijm wa Young Africans.
Tuzo VPL2015
Mfungaji bora 
 ni Amiss Tambwe wa Yanga aliyefunga mabao 21 anapata zawadi ya Tshs 5,7M.
Tuzo VPL2015
Mchezaji bora wa #VPL2015 ni Juma Abdul wa Yanga ambaye anapata zawadi ya Tshs. mil 9.2
Tuzo VPL2015
Tuzo ya mchezaji bora chipukizi inakwenda kwa Mohamed Hussein “Tshabalala” wa Simba .
Tuzo VPL2015
Tuzo ya mchezaji bora wa kigeni 
inakwenda kwa Thaban Kamusoko wa Young Africans anapata Tsh mil 5.7.
Tuzo VPL2015
Tuzo ya goli bora la msimu wa #VPL2015 inaenda kwa Ibrahim Hajibu Migomba wa Simba Sports Club.
Tuzo VPL2015
Kipa bora wa #VPL2015 ni Aishi Manula wa Azam FC ambaye anapata kitita cha Tshs mil 5.7.
Tuzo VPL2015
Bingwa Young Africans inapata Tshs mil 81
Tuzo VPL2015
Mshindi wa pili 
 ni timu ya Azam FC ambayo inapata Tshs mil 40.
Tuzo VPL2015
Mshindi wa tatu 
 ni Simba Sports Club inaondoka na kitita cha Tsh mil 29.
Tuzo VPL2015
Mshindi wan nne 
ni Tanzania Prisons ambayo inajipatia Tshs mil 23.2.
Tuzo VPL2015
Timu yenye nidhamu 
 ni Mtibwa Sugar ambayo inazawadiwa Tsh mil 17.2

Tuzo ya mwamuzi bora katika msimu wa 2015/2016 inakwenda kwa Ngolle Philip Mwangole. #TuzoVPL2015

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top