Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: BRAND NEW VIDEO MUSIC || RAMA DEE F/ YOUNG YUDA - MAZOEA (RnB Meets SINGELI) || WATCH HERE
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Muziki wa Singeli unazidi kwenda mainstream. Je! Unasikikaje muziki huo unapochanganywa na lad...
Rama Dee ft Young Yuda - Mazoea
Muziki wa Singeli unazidi kwenda mainstream. Je! Unasikikaje muziki huo unapochanganywa na ladha ya RnB tena kutoka kwa muimbaji hodari kabisa wa muziki huo?
Just beautiful
Tazama video ya wimbo huu mpya wa Rama Dee ‘Mazoea’ aliomshirikisha msanii chipukizi wa Singeli, Young Yuda. Video imeongozwa na Kasampaida.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top