Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BRAND NEW VIDEO MUSIC || AKOTHEE - YUKO MOYONI || WATCH HERE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kusambaa kwa picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha msanii wa muziki ...
Akothee - Yuko Moyoni
Baada ya kusambaa kwa picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha msanii wa muziki wa Kenya, Akothee akiwa ndani ya shela la ndoa, Jumamosi hii ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Yuko Moyoni’. Video imeongozwa na director Godfadher kutoka Afrika Kusini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top