Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: BARAKA THE PRINCE KATIKA KASHFA HII NZITO, NA HAYA NDIO MAAMUZI ALIYOYACHUKUA. (+AUDIO)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Wiki hii Baraka da Prince alipata scandal nzito, baada ya page moja ya Instagram inayotumia jina ...
Wiki hii Baraka da Prince alipata scandal nzito, baada ya page moja ya Instagram inayotumia jina la Kaoge kumtaja msanii huyo kuwa anadaiwa mtonyo flani na katika kumkwepa mdaiwa wake ameamua kumblock Kaoge.
Baraka da Prince na Naj
Baraka da Prince na Naj (Mpenzi wake)
Account hiyo ikazidi kudai kuwa itafichua msg zote walizowahi kuandikiana na Baraka da Prince.

Baada ya Kimbembe hicho Baraka da Prince ameamua kuchukua hatua hizi hapa Msikilize kwenye Audio hapo chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top