Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: ALIKIBA NDANI YA STUDIO ZA WCB, DIAMOND AMPA HESHIMA KWA KUFANYA HICHI
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Meneja wa Diamond , Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipan...
Meneja wa Diamond, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records.
Diamond and Alikiba
Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond na Alikiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za mitandaoni za kukejeli mafanikio ya msanii wa team nyingine lakini hiyo ni dalili kuwa ipo siku itabaki historia tu.

Babu Tale alipost kipande hicho cha video kinachoonyesha baadhi ya picha za wasanii wakubwa Bongo akiwemo Marehemu Bi Kidude, Mr Blue, Dully Sykes, Juma Nature, Q Chief, Alikiba na wengine wengi.

Je, hiyo inaweza ikawa ndiyo kiki ya kuikaribisha video ya wimbo mpya wa Diamond aliowashirikisha P Square ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni?

Tazama video hapa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top