Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: ZLATAN IBRAHIMOVIC ATHIBITISHA KUICHEZEA MANCHESTER UNITED MSIMU WA 2016/2017
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya PSG , Zlatan Ibrahimovic ametangaza rasmi kuwa ataichezea timu ya ...
Zlatan Ibrahimovic
Aliyekuwa mchezaji wa timu ya PSG, Zlatan Ibrahimovic ametangaza rasmi kuwa ataichezea timu ya Manchester United kwa msimu ujao utakaoanza Agosti 13 mwaka huu.
Ibrahimovic ambaye alikuwa akiwaniwa na United kwa muda mrefu tangu alipomaliza mkataba wake na PSG sasa atakuwa ni mchezaji wa pili kusajiliwa na Jose Mourinho baada ya beki wa Ivory Coast, Eric Bertrand Bailly kutoka Villarreal kusajiliwa mapema mwezi huu.

Aidha Ibrahimovic (34) atasajiliwa kama mchezaji huru na Manchester United huku akitarajiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea timu hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top