Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: WAZIRI NAPE AZINDUA UMEME KWENYE KATA YA NACHUNYU
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape M...
umeme - Nachunyu
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Nachunyu kwenye mkutano maalum wa kuwasha umeme kijijini hapo ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kila jambo aliloliahidi litakamilika mapema.
umeme - Nachunyu
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda akiongea wakati wa kuwasha umeme kata ya Nachunyu jimbo la Mtama.
umeme - Nachunyu
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akihutubia umati wa wakazi wa kijiji cha Nachunyu wakati wa zoezi la kuwasha umeme kijijini hapo.
umeme - Nachunyu
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akifungua kitambaa kama ishala ya uwashaji wa umeme katikakata ya Nachunyu.
umeme - Nachunyu
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wananchi wa Nachunyu mara baada ya kuwasha umeme katika kata ya Nachunyu.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top