Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: UWOYA AZIPA KISOGO FILAM KUJIKITA ZAIDI KWENYE ISHU HII HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
MREMBO aliyejulikana zaidi kwenye Tasnia ya Filamu Bongo kupitia Filamu ya Oprah aliyofanya na mar...
MREMBO aliyejulikana zaidi kwenye Tasnia ya Filamu Bongo kupitia Filamu ya Oprah aliyofanya na marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ pamoja na Vincent Kigosi ‘Ray’, Irene Uwoya amefunguka kuwa kwa sasa ameamua kujikita zaidi kwenye ishu za ujasiriamali kuliko kazi yake ya filamu maana anadhani zitamtoa kimaisha.
Irene Uwoya
Akichonga kwa kujiachia na mwandishi wetu, Uwoya alisema tofauti na kipindi cha nyuma alipokuwa anatumia muda mwingi kukaa na mastaa wenzake wa filamu Leaders Club huku wakisubiri mashavu ya kuigiza muda huo anautumia kusimamia ishu zake za kibiashara.
Irene Uwoya
“Siyo kama nimeacha filamu hapana, nimeamua tu kujikita zaidi kwenye masuala ya ujasiriamali ili kutanua wigo wa kuingiza kipato, nitakapopata nafasi nitakuwa nafanya filamu kama kawa,” alisema Uwoya.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top