Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: TANZIA :: ALIYEKUWA KOCHA WA NIGERIA STEPHEN KESHI AFARIKI DUNIA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Aliyekuwa kocha wa timu ya Taifa ya Nigeria's Super Eagles, Stephen Keshi amefariki dunia ak...
Stephen Keshi
Aliyekuwa kocha wa timu ya Taifa ya Nigeria's Super Eagles, Stephen Keshi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54 kutokana na ugonjwa wa mstuko wa moyo.
Kocha huyo stephan Kash "Big Boss" mwaka 2013, aliletea sifa nchi yake baada ya kushinda kombe la Africa Cup of Nations.
Stephen Keshi
Kwa mjibu wa ndugu wa kocha huyo Emmanuel Ado, amedhibitisha kuwa kaka yake amefariki ghafla kwani hajawahi kuugua ugonjwa wote na hakuwahi kuonyesha dalili za kuugua kabisa.
Hakika ulimwengu wa soka utamkumbuka duniani kote kwa mchango wake kwenye mchezo wa mpira.
Pumzika kwa amani.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top