Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: TAMTHILIA YA EMPIRE KUMPA SHAVU RAPPER AKA WA AFRIKA KUSINI
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Huenda rapper AKA wa Afrika Kusini akapata shavu kwenye tamthilia ya Empire msimu ujao. Waigi...
Huenda rapper AKA wa Afrika Kusini akapata shavu kwenye tamthilia ya Empire msimu ujao.

Cookie na Lucious Lyon
Waigizaji wa show hiyo iliyotokea kupendwa duniani, Taraji P Henson (Cookie) na Terrance Howard (Lucious Lyon) wapo Afrika Kusini katika ziara maalum iliyoandaliwa na kampuni ya Multi Choice.

AKA aliungana na mastaa hao katika moja ya hafla ya kukutana na kusalimiana na mashabiki wa Afrika Kusini ambapo pia alitumbuiza. Rapper huyo aliyefanya kazi na Diamond na Joh Makini alishare video ikimuonesha akiongea na mastaa hao na kuwaeleza kuwa angependa pia kuigiza kwenye tamthilia ya Empire.

Terrence
anasikika akimueleza kuwa wataongea na muongozaji, Lee Daniels ili amuongeze.

“Lucious & Cookie enjoyed the show. Maybe they’ll give me a role on Empire. Tell Lee Daniels about the design,” aliandika AKA kwenye video hiyo na kumtag Lee Daniels.

Taraji aliirepost video na kuandika: You were a wonderful host @akaworldwide I AM A BIG FAN OF #AfricanMusic Thank you for being so kind to us! AND YES WE SHOULD HAVE YOU ON THE SHOW @theoriginalbigdaddy.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top