Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: SHISHI BABY AMLIA MINGO RAYMOND WA WCB, WANASWA WAKIPEANA MIDENDA NJE NJE...!!!
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazid umri kwasababu...&quo...
Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazid umri kwasababu..."

Shishi Baby
Yule Ngapepe Sukari ya vijana aka Mario ajulikane kama Shishi Baby, kwenye party ya kumkaribisha Rich Mavoko kwenye Lebo kubwa ya Muziki Tanzania WCB alionekana kagandana na kijana mdogo Rayvan mzee wa hapa kwetu huku wakipeana midenda ndimi nje bila kujali watu waliopo.

Sasa sijui ilikuwa ni furaha, pombe, mapenzi au ndio mambo ya kiki!!

Kila laheri kijana.
A video posted by Shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno_badgirlshishi) on

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top