Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: RICH MAVOKO AITABIRIA MAKUBWA WCB BARANI AFRIKA.(+VIDEO)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Rich Mavoko amesema lebo ya WCB itakuja kuwa kubwa sana Afrika. Amesema anatamani angekuwa ameruh...
Rich Mavoko amesema lebo ya WCB itakuja kuwa kubwa sana Afrika.
WCB
Amesema anatamani angekuwa ameruhusiwa kusema mambo makubwa wanayoyapika ndani ya himaya yao. “Kiukweli kama ningeruhusiwa kutoa siri za kampuni, ningesema nani ana video ngapi lakini mi naomba watanzania waoneshe ushirikiano mkubwa kwa vijana wao,” anasema Rich.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top