Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MPENZI MPYA WA LINAH SANGA HUYU HAPA (+Audio)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Mahusiano ni moja ya kitu muhimu katika maisha ya mwanadamu lakini katika mahusiano huusisha jin...
Linah
Mahusiano ni moja ya kitu muhimu katika maisha ya mwanadamu lakini katika mahusiano huusisha jinsia mbili tofauti ili yawe mahusiano rasmi kwa mujibu wa mila na desturi za kiafrika, mfano nchini Marekani Mwanamitindo Kim Kardashian alimtongoza msanii wa muziki Kanye West na wawili hao walikubaliana mpaka kufikia kufunga ndoa na kujaaliwa familia watoto wawili.

Kwa tamaduni wa kiafrika sio jambo jema na jepesi kwa mtoto wa kike kueleza hisia za kimapenzi ‘kutongoza’ kwa mwanaume, kwani kitendo hiki hutafsiriwa kama kukosa heshima na utovu wa nidhamu kwa baadhi ya makabila au jamii ingawa mtu hakatazwi kuongea anachokiwaza.

Linah
Star wa Bongo Fleva anayekinukisha na single ya Malkia wa Nguvu Linah a.k.a ndege mnana baada ya kutendwa katika mahusiano aliyopitia, kupitia mtandao huu amefungua kinywa chake na kumuelezea mwanaume anayetaka kuwa naye katika mahusiano mapya, msikilize Linah katika sauti hapo chini akielezea zaidi.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top