Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MAMBO YA BIG BROTHER UK NI MOTO, TAZAMA PICHA ZA LAURA NA MARCO WAKIWA KWENYE SWIMMING POOL
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Washiriki wa Shindano la Big Brother, Marco Pierre White Jnr na Laura Carter , ambao tayari wal...
Big Brother uk
Washiriki wa Shindano la Big Brother, Marco Pierre White Jnr na Laura Carter, ambao tayari walisha wahi kufanya ngono ndani ya jumba hilo, wamerudi kwenye kiki tena marahii. Wakati huu wameonekana wakioga pamoja ndani ya jakuzi na kufanya mazungumzo ya hapa na pale.

Kwa mujibu wa Laura mwenye umri wa miaka 30, amekuwa mwenye wasiwasi kuwa inawezekana Marco, mwenye umri wa miaka 21, anaweza kuwa amesema uongo kwake juu ya kuwa katika uhusiano ya wazi ili tu awezekufanikiwa kufanyanae mapenzi, lakini hiyo haimfanyi yeye kuacha kutoka naye tena Kimapenzi kwa mara nyingine.

Hizi ni picha zao...
Big Brother uk
Big Brother uk
Big Brother uk

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top