Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: KAMA ULIPITWA NA VIDEO YA CHIDI BENZI ALIPOKUWA AKITOKA REHAB, ICHEKI HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Tumemuona Chidi Benz zaidi kwa picha za kuvutia alizopigwa kwenye studio za Wasafi , lakini hat...
Chidi Benz
Tumemuona Chidi Benz zaidi kwa picha za kuvutia alizopigwa kwenye studio za Wasafi, lakini hatujaona video ya siku alivyotoka kwenye kituo cha rehab cha Life and Hope cha Bagamoyo.

Kupitia video hii ya Perfecto TV unaweza kuona akihojiwa na mtangazaji wa kipindi cha Harakati, Kalapina baada tu ya kutoka. 

Tazama hapo chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top