Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: IJUMAA JULY 1, 2016 ONGEZEKO LA ASILIMIA 18 (VAT) YA MAKATO YA MIAMALA YA KIBENKI KUANZA KUTUMIKA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Ijumaa hii itakuwa tofauti kwa wateja wengi wa benki nchini. Ni kwasababu benki karibu zote kuanzia...
Ijumaa hii itakuwa tofauti kwa wateja wengi wa benki nchini. Ni kwasababu benki karibu zote kuanzia July 1, zitaanza kutumia sheria mpya ya fedha ya mwaka huu iliyopitishwa na bunge la 2016/17.
CRDB
Kupitia tangazo lake kwa wateja, benki ya CRDB imedai kuwa ongezeko la asilimia 18 zitatozwa katika gharama za huduma ya benki kuanzia Ijumaa hii, July 1.

“Ongezeko hili (VAT) litakatwa kutoka katika akaunti na kama muamala hautapita kwenye akaunti, mteja atalipia kwa fedha taslimu, Kulingana na sheria hii, hakutakuwa na makato ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) katika riba,” imesema taarifa hiyo.

Benki ya NMB nayo imetoa taarifa hiyo kwa wateja wake.
NMB

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top