Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: HUU NDIO USHAHIDI WA RICH MAVOKO KUJIUNGA NA WCB, KUTAMBULISHWA LEO (+Video)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa Hamu na wapenzi wa Tasnia ya Muziki nchini Tanzania imefika ni ...
Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa Hamu na wapenzi wa Tasnia ya Muziki nchini Tanzania imefika ni June 2, 2016.
wcb
WCB ilitoa taarifa kuwa siku hii ya leo kutakuwa na Big suprise na Hapa nimekufikishia Ubuyu huu hapa.

Diamond na Jopo lake zima la WCB wametinga ndani ya Ofisi ya Basata lakini haijajulikana walikuwa wanazungumzia ishu zipi za Muziki lakini katika Jopo hilo ameonekana Mkubwa Fella na Richi Mavoco na Diamond wakizungumza na Katibu wa BASATA. 


Wadadisi wa Mambo wanasema inawezekana Jopo hilo walifika ofisi hizo kuwasilisha nyimbo au video ya ujio wao mpya ili viweze kukaguliwa kabla ya kuingia mtaani.


Hebu Tazama video hapa Chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top