Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: HUU HAPA MUONEKANO MPYA WA CHID BENZ BAADA YA KUTOKA SOBER HOUSE
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya kupiti...
Chid Benz
Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya kupitia akaunti yake ya Instagram ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.
Chid Benz
Unaweza kumfollow kupitia linki hii hapa @Officialchidibeenz ...
Chid Benz

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top