Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: HILI JIPYA:: PAKA WAATHIRIWA NA VIRUSI VYA UKIMWI (+VIDEO)
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Ni kawaida unaposkia kwamba mtu ana virusi vya ukimwi, lakini hebu fikiria unapoambiwa paka, mny...
paka
Ni kawaida unaposkia kwamba mtu ana virusi vya ukimwi, lakini hebu fikiria unapoambiwa paka, mnyama anayeishi na binadamu amepatikana na virusi hivyo. Bila shaka ni jambo ambalo wengi watalitania wakithani ni mzaha lakini sivyo, huko katika kaunti ya nairobi, paka mmoja amepimwa na kupatikana na virusi vya ukimwi aina ya FIV.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top