Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: GIGY MONEY ASEMA ANAANGALIA PESA KABLA YA KUMKUBALI MWANAUME
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa Bongo Fleva na video queen, Gigy Money amesema kuwa anaangalia pesa kabla hajamkubali mw...
Msanii wa Bongo Fleva na video queen, Gigy Money amesema kuwa anaangalia pesa kabla hajamkubali mwanaume.
Gigy Money
Akiongea na Times FM, Gigy Money alisema, “Naangalia pesa kabla sijamkubali mwanaume, unajua kuwa na mtu maskini inaleta stress tu, napenda pia wanaume wazuri,” alisema.

Gigy ametokea kupata umaarufu kutokana na maisha yake controversial.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top