Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: BET WAMPA SHAVU MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ "TIFFAH"
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Nina miaka zaidi ya 10 kwenye tasnia ya habari lakini sijawahi kupata umaarufu kama alioupata mtoto...
Nina miaka zaidi ya 10 kwenye tasnia ya habari lakini sijawahi kupata umaarufu kama alioupata mtoto wa Diamond Platnumz, Tiffah.
Tiffah
Wanasema mtoto wa nyoka naye ni nyoka, hivyo kuwa binti wa mwanamuziki maarufu Afrika kama Diamond umaarufu si kitu kinachoepukika.

Wiki hii kituo cha runinga cha BET tawi la Afrika kimempa shavu mtoto huyo mwenye takriban miezi kumi sasa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.
“Our #CuteDay snap is baby Princess Tiffah, @diamondplatnumz’s bundle of cuteness. RT to share the cuteness,” wameandika BET kwenye picha ya mtoto huyo iliyowekwa Instagram na Twitter.

Mama yake, Zari ameirepost pia picha hiyo kwenye Instagram.

Diamond ametajwa tena mwaka huu kuwania tuzo za BET kwenye kipengele cha Best International Act: Africa.


About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top