Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: WEMA SEPETU AWATIA SIMANZI WAFUASI WAKE HUKO INSTAGRAM KWA KUANDIKA UJUMBE HUU HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia Account yake ya Instagram staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu alipost picha akiwa na mama yak...
Kupitia Account yake ya Instagram staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu alipost picha akiwa na mama yake mzazi na kuweka maneno yalisomeka kuwa iko siku na mimi nitaitwa Mama.
Mama na Mwana
Wema Sepetu akiwa na mama yake mzazi.

Jambo ambalo liliibua hisia za mashabiki zake na wengine kuanza kumfariji kuwa Mungu yupo na anasikia kilio chake na wengine wakiendelea kumtia moyo kuwa asijali kweli ipo wakati na yeye atakuwa mama na kupata mtoto.
“Muombe Mungu Wema Sepetu hata sisi wanawake wenzako tunaumia sana kuona unatukanwa kisa mtoto, tunakuombea Mungu akujualie mtoto wako usisemezane nao hao watu wanakuongelea vibaya” Lovenes France

About Author

Advertisement

 
Top