Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: VIDEO: WABUNGE SABA WA UPINZANI WAPIGWA STOP KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Wabunge saba wa upinzani wapewa adhabu baada ya kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge ku...
Wabunge saba wa upinzani wapewa adhabu baada ya kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwakuta na hatia ya kusimama na kuomba miongozo bila kufuata taratibu na kanuni za Bunge. 

Adhabu zilizotolewa:
Tundu Lissu na Ester Bulaya hawatashiriki vikao vyote vilivyosalia vya mkutano wa tatu, pamoja na vikao vyote vya mkutano wa nne. Pauline Gekuli, Godbless Lema, Zitto Kabwe na Halima Mdee hawatahudhuria vikao vyote vya mkutano wa tatu.

John Heche ambaye adhabu yake ni kutoshiriki kwenye vikao 10 mkutano wa tatu.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top