Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: VIDEO:: JOSHUA NASSARI USO KWA USO NA WAZIRI LUKUVI, ISHU IKIWA NI MIGOGORO YA MASHAMBA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Wakati Bunge la 11 likiendelea Dodoma, May 23 2016 Wabunge walikuwa wakijadili bajeti ya Wizara ...
Joshua Nassari
Wakati Bunge la 11 likiendelea Dodoma, May 23 2016 Wabunge walikuwa wakijadili bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. 

Nakukutanisha na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari aliposimama kuhoji tatizo la Migogoro ya mashamba na kisha Waziri William Lukuvi akatolea majibu yake kwenye hii video..

About Author

Advertisement

 
Top