Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: VIDEO: DIAMOND ALIWAHI KUFIKIRIA KUJIUA KISA KIKIWA HUYU DEMU
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz ni mmoja kati ya mastar wakubwa wanaojulikana Afrika wakitokea hapa hapa kwetu B...
Diamond Platnumz ni mmoja kati ya mastar wakubwa wanaojulikana Afrika wakitokea hapa hapa kwetu Bongo.
Diamond Platnumz
Ukiacha mziki ambao umemfungulia milango na kumpa mkwanja alionao, Diamond Platnumz anafahamika kwa kula mademu wengi (mahusiano ya Kimapenzi) tu hapa Bongo huku asilimia kubwa wakiwa ni maarufu.

Lakini wanasema kila mjanja ana mjanja wake, Je wajua kua Diamond alishawahi kutaka kujiua kisa katoswa na demu???

Basi jibu ni ndio na Diamond kafunguka kupitia video hii hapa chini, mskilize.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top