Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: VIDEO:: AJALI MBAYA YATOKEA MAGOMENI USALAMA IKIHUSISHA BASI LA MWENDO KASI NA GARI DOGO
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Mapema leo Kumetokea ajali mbaya maeneo ya Magomeni Usalama Jijini Dar es salaam ikihusisha Bas...
Mapema leo Kumetokea ajali mbaya maeneo ya Magomeni Usalama Jijini Dar es salaam ikihusisha Basi la Mwendokase (UDART) lenye namba za usajili T 859 DGV na Gari dogo.

Hadi sasa Hakuna taarifa ya Kutokea maafa katika Ajali hiyo.

Tazama Video ya Tukio hilo Hapa:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top