Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: UNAWEZA KUTANGAZA NDOA UKIONA PICHA HIZI MPYA ZA MSANII SHILOLE A.K.A SHISHI BABY
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Shilole anawaka, anang’aa na anaweza kukufanya utangaze ndoa ukiona picha hizi mpya. Muimbaji hu...
Shilole anawaka, anang’aa na anaweza kukufanya utangaze ndoa ukiona picha hizi mpya.
Shilole
Muimbaji huyo yuko mbioni kuachia kazi mpya ambayo huenda ikaitwa ‘Say Ma Name.’
Shilole
Amepost picha kwenye Instagram na kuandika, “Mungu ww ndo unajua uliponitoa Na unajua ninapokwenda! Hujawahi kuniangusha hata mara moja! Na unajua napambana kiasi gani na hii dunia uliyoniweka. Ewe Mungu nisaidie kwa kazi yangu hii mpya wote Tuseme Amen #saymaname soon.”
Shilole

About Author

Advertisement

 
Top