Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: SHETTA KATIKA COLLABO KUBWA, ASHIRIKISWA KATIKA NGOMA HII HAPA NA MSANII WA NJE
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Muimbaji wa Zambia, Roberto amemshirikisha Shetta kwenye wimbo wake ujao. Shettah ameiambia Lin...
Muimbaji wa Zambia, Roberto amemshirikisha Shetta kwenye wimbo wake ujao.
Shetta
Shettah ameiambia Lindiyetu.com kuwa hiyo imetokana a kufanya vizuri kwa wimbo wake uliopita ‘Shikorobo.’
“Amefanya ngoma yake na amenitumia nafikiri soon anaweza akaachia kwahiyo ni project kubwa na ni yake, tunapozungumzia collaboration za kimataifa tunaanza hivyo,” anasema Shetta.

Shetta amesema kuna collabo zingine za kimataifa amefanya na atazingataza hivi karibuni. Wiki iliyopita msanii huyo aliachia video ya wimbo wake mpya, Namjua.

About Author

Advertisement

 
Top