Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: SHETTA KAFUNGUKA SKENDO YA MKE WAKE KUTOKA KIMAPENZI NA DIAMOND PLATNUMZ (+Audio)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
May 06 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka inayomhusu Shetta , G...
Shetta na Diamond
May 06 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka inayomhusu Shetta, Geah Kamuuliza Shetta kuhusu story zilizowahi kusemwa kuwa mke wake anatembea na Diamond na baadae akafuta picha zote za instagram ambapo matukio hayo yalifuatana.

Baada ya kuulizwa Shetta amesema sio kweli na anaumuamini sana mke wake pia akasema………..>>>ukaribu wa mke wangu na Diamond ni mdogo sana wala sio watu wa kupigiana simu, hata Diamond namba ya mke wangu hana:-Shetta

STORI KAMILI NIMEKUWEKEA HAPA CHINI BONYEZA PLAY KUSIKILIZA

About Author

Advertisement

 
Top