Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: PICHA:: SHILOLE AZIDI KUWATESA MIDUME HUKO INSTAGRAM, AACHIA PICHA TATA TENA LEO HII ZICHEKI HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa Picha maarufu kwa Jina la Instagram msanii Shilole ameamua ...
Shilole a.ka. Shishi Baby
Kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa Picha maarufu kwa Jina la Instagram msanii Shilole ameamua kuendelea kuwatamanisha midume kwa kuweka picha zenye maudhui ya nusu Utupu.
Msanii Huyo hivi karibuni alisema yuko mbioni kuachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la "Say Ma Name", wataalamu wa mambo wanadai kwamba anajaribu kuwaweka karibu watu wake ili atakapo achi wimbo huo uweze kuwafikia kirahisi wapenzi wake wa kazi zake za kimuziki.

Hizi ni Baadhi tu ya Picha alizoweza kuziachia katika Ukurasa wake Huo.
Shilole a.ka. Shishi Baby
Shilole a.ka. Shishi Baby
Shilole a.ka. Shishi Baby

About Author

Advertisement

 
Top