Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MWANAMKE MWENYE ASILI YA AFRIKA AJITOSA URAIS NCHINI UFARANSA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Mwanamke mwenye asili ya Afrika kutoka nchini Senegal ambaye anatambulika kwa jina la Rama Yade am...
Mwanamke mwenye asili ya Afrika kutoka nchini Senegal ambaye anatambulika kwa jina la Rama Yade amefahamisha kuwa atawania kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini Ufaransa ifikapo mwaka 2017.
Rama Yade
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya Ufaransa mtu mwenye asili ya Afrika kuwania kiti cha urais.

Ifahamike kuwa Rama Yade mwenye umri wa miaka 39 hivi sasa, aliwahi kufanya kazi katika Ikulu ya Rais katika kipindi ambacho Nicolas Sarkozy alikuwa Rais wa Ufaransa.
Rama Yade
Rama Yade alifahamisha wanasiasa wa Ufaransa wanalojukumu la kutatua tofauti zilizopo katika jamii.

About Author

Advertisement

 
Top