Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MSANII WA WEMA SEPETU MIRROR KUTOKA NA COLABO HII, MENEJA PETITMAN AMWAGA UBUYU HUU HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Meneja wa msanii huyo kutoka Endless Film , Petitman Wakuache , amesema Mirror ni msanii ambaye...
Petitman Wakuache
Meneja wa msanii huyo kutoka Endless Film, Petitman Wakuache, amesema Mirror ni msanii ambaye style yake ya uimbaji haiwezi kufananisha na wasanii mwingine.

“Mirror ni msanii mzuri sana na muziki wake hauwezi kuufananisha na wa wasanii wengine, kwa hiyo watu msione kimya, kuna kolabo mpya Ommy Dimpoz itatoka, pia kuna video mpya ambayo tumeshoot Afrika Kusini. Kwa hiyo mashabiki wasione watu hawafanyi kazi, wakati kazi wanaziona, wao wanatakiwa wasupport kazi zilizopo kwanza,” alisema Petit.
Mirroria Petit aliongeza "Mirror ni msanii ambaye hauwezi kumfananisha na wasanii mwingine, kwani muziki wake unaishi muda mrefu".

About Author

Advertisement

 
Top