Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MENEJA WA DIAMOND, SALLAM AZUNGUMZIA KUMCHUKUA RICH MAVOKO KUSIGN WCB (+AUDIO)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Meneja wa Diamond Platnumz , Sallam Sharraf amezungumzia majukumu yake kwenye label ya WCB . Ak...
Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam Sharraf amezungumzia majukumu yake kwenye label ya WCB.
Sallam Sharraf
Akiongea na mtangazaji Divine Kweka kwenye kipindi cha The Premier cha Kings FM ya Njombe, Sallam alisema yeye ni meneja wa Diamond upande wa kimataifa na pia ni miongoni mwa wakurugenzi wanne wa bodi ya WCB.

Aliwataja wengine kuwa ni Diamond, Babutale na Said Fella. Pia kwenye mahojiano hayo Sallam alizungumzia iwapo ni kweli WCB tayari wamemchukua Rich Mavoko.

Sikiliza mahojiano hapo chini.


About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top