Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MADEE ADAIWA MILIONI TATU...NI BAADA YA KUMZALISHA MSICHANA HUYU
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Madee ambaye ni mmiliki wa single mpya ya "migulu pande" amesema kwenye hii Exclusiv...
Madee
Madee ambaye ni mmiliki wa single mpya ya "migulu pande" amesema kwenye hii Exclusive Interview ameongelea ishu inayomkabili sasa hivi ya kudaiwa milioni tatu za Kitanzania na wazazi wa binti aliyepata nae mtoto miaka kadhaa iliyopita ambapo Madee amedaiwa kiasi hicho cha pesa baada ya kusema anataka kumchukua mtoto wake.

Msikilize Madee kwenye Hii Interview hapa chini.

About Author

Advertisement

 
Top