Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: KWA HILI LULU ANATAFUTA KIKI AU NDIO ANAWACHANA WENZAKE WATAFUTA KIKI?
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi wanapenda kiki ku...
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi wanapenda kiki kuliko kusaka fedha kitu ambacho yeye hakifanyi.
Elizabeth Michael ‘Lulu’
Akizungumza na Lindiyetu.com, pasipo kuwataja majina, Lulu alisema anashangazwa na tabia ya mastaa wengi kuwa ‘bize’ kutafuta kiki kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii badala ya kukutana pamoja na kufikiria ni kitu gani wanaweza kufanya ili waendelee kimaisha.
“Jamani mimi nashangaa siku hizi huku mjini mastaa wanatafuta kiki sana kuliko kufikiria mbinu ya kusaka hela yaani ni shida kabisa, tubadilike jamani, muda unakwenda,” alisema Lulu.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top