Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA, MAPITIO YA HOJA MBALIMBALI ZA WABUNGE
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Waziri, Wizara ya Nishati na Madini, Mhe. Medard Kalemani akijibu baadhi ya hoja za W...


Bungeni mjini Dodoma

Naibu Waziri, Wizara ya Nishati na Madini, Mhe. Medard Kalemani akijibu baadhi ya hoja za Wabunge zilizoihusu Wizara ya Nishati na Madini wakati wa Bunge mjini Dodoma.
Bungeni mjini Dodoma
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) (kulia) akijibu baadhi ya hoja za baadhi ya Wabunge wakati wa mapitio ya hoja mbalimbali bungeni mjini Dodoma.
Bungeni mjini Dodoma
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wakati wa mapitio ya baadhi ya hoja za Wabunge leo Bungeni mjini Dodoma.
Bungeni mjini Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akijadiliana jambo na Mhe. Amina Makilagi ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum wakati wa mapitio ya hoja mbalimbali za Wabunge mjini Dodoma.
Bungeni mjini Dodoma
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb) akijibu hoja za Wabunge mbalimbali waliochangia hotuba ya Wizara yake Bungeni mjini Dodoma.
Bungeni mjini Dodoma
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba wakati wa mapitio ya hoja za Wabunge Bungeni mjini Dodoma.

Picha zote na Benedict Liwenga
MAELEZO, Dodoma

About Author

Advertisement

 
Top