Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: HUU HAPA UJIO MPYA WA WEUSI, VIDEO YASHUTIWA SOUTH AFRIKA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Ngoma mpya ya kundi la Weusi inaitwa Sweety Mangi , imefahamika. Joh Makini, G-Nako na Nick wa...
Ngoma mpya ya kundi la Weusi inaitwa Sweety Mangi, imefahamika.
Joh Makini, G-Nako na Nick wa Pili
Joh Makini, G-Nako na Nick wa Pili walikuwa jijini Johannesburg wiki hii kushoot video kadhaa ikiwemo ya wimbo huo.

Watatu hao wameshare picha kwenye kurasa zao za Instagram wakiwa location ya ndani kushoot video hiyo na muongozaji Justin Campos.

“Sweet mangi video….done….kaamkao wa kula,” ameandika Nick kwenye picha aliyoiweka Instagram.

Sweety Mangi si video pekee waliyoenda kushoot. Kabla ya hapo walishoot video nyingine ya wimbo wa Joh Makini aliomshirikisha staa wa Nigeria, Chidinma. Pia kuna wimbo waliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini, Khuli Chana.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top