Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: HATIMAE GIGY MONEY AWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE NA MSANII HUYU AMBAYE PIA NI MUME WA MTU
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kuna fununu zimezagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke...
Kuna fununu zimezagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke.
Gigy Money
Wawili hao wamekuwa wakionekana mara kwa mara wakiwa pamoja.

“Yeah ni kweli mimi Matonya kama unayoona kwangu mimi ni zaidi ya mpenzi, hayo mambo ya yeye na mkewe mimi hayanihusu, muulize mwenyewe,” Gigy ameiambia Bongo5.

About Author

Advertisement

 
Top