Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: EMILIA CLARKE ANATAKA KUWA JAMES BOND WA KWANZA WA KIKE NA KUPEWA JINA LA JANE BOND.
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kuigiza vizuri kwenye show ya Game Of Thrones staa Emilia Clarke amejitolea kuigiza kama ...
Baada ya kuigiza vizuri kwenye show ya Game Of Thrones staa Emilia Clarke amejitolea kuigiza kama James Bond wa kwanza wa kike duniani.
Emilia Clarke
Emilia anasema hii ni ndoto yake kuwa James Bond wa kwanza wa kike na ataitwa Jane Bond.

Emilia Clarke, 29, anataka kuigiza kwenye filamu za 007 James Bond na kwamba badala ya kuwa na Bond Girls, pawe na Bond Boys na awe ni Leonardo DiCaprio.

Staa mwingine wa kike anayetaka nafasi hio ni staa wa The X-Files Gillian Anderson.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top