Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: DIVA APIGANA MABUSU LIVE NA MPENZI WAKE GK NA KUWEKA VIDEO HII INSTAGRAM
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Diva the Bawse anasema hataki kusikia kitu kinachoitwa ‘mila na desturi’ za Mtanzania hasa pale ana...
Diva the Bawse anasema hataki kusikia kitu kinachoitwa ‘mila na desturi’ za Mtanzania hasa pale anapofanya kitu kinachompa furaha.
Wiki hii mtangazaji huyo wa Clouds FM amesababisha mjadala mkubwa kwenye Instagram baada ya kupost video inayomuonesha akipigana French kiss na mpenzi wake rapper GK.

“Trying kanye west n kim k yummy tongie crazyyy kiss… guess what. wedding very soon #theregoesmybabyyyyy,” aliandika kwenye video hiyo.

“Nataka niishi the life that I want, mimi I don’t live to please anyone. I just live me as Diva, I just want to be happy,”  alisema Diva.

“The kiss to happiness – tongue kiss is the key to happiness ndio maana mimi sioni ajabu kumkiss mtu.”

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top